Championing Women Leaders in Business Summit is an annual event created by VoWET to encourage and inspire women to succeed in business. The Summit is designed to stir a national conversation about business challenges and successes. It also provides a platform for new entrepreneurs to network and showcase their products.
Kauli Mbiu ya 2016 “Elimisha Mwanamke; Rasimisha Biashara; Ongeza Pato la Taifa”.
Mgeni Rasmi Mama Samia Sukuhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mgeni Rasmi Makamu wa Jamhuri Muungano wa Mama Samia Suluhu Hassan akipita katika Meza za maonyesho.

Picha ya Mgeni Rasmi na wageni waalikwa katika meza kuu.

Mama Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba katika ufunguzi wa kongamano la Championing Women Leaders in Business summit

Mgeni Rasmi akitoa Cheti cha shukrani kwa Mdhamini wetu mkuu Vodacom Foundation.

PIcha ya Mgeni Rasmi na wanabodi wa Vowet.

Champioming Women Summit 2016.